Maji yaliustawisha,vilindi vya maji viliulisha.Mito ilibubujika mahali ulipoota,ikapeleka vijito kwenye miti yote ya msituni.