18. ya 11 Azareli; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;
19. ya 12 Hashabia; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;
20. ya 13 Shebueli; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;
21. ya 14 Matithia; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;
22. ya 15 Yeremothi; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;
23. ya 16 Hanania; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;
24. ya 17 Yoshbekasha; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;
25. ya 18 Hanani; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;
26. ya 19 Malothi; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;
27. ya 20 Eliatha; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;
28. ya 21 Hothiri; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;